
Niaje wasee ...kama unasaka Job opportunity ndo hii hku... Prudential insurance tunasaka wasee wanaweza fanya job ya insurance...tunasaka wasee wako 18+ na ukuwe na cert ya form four....tutakupa training for free kwa wiki Moja na pia tutakupleka college upate e-cop certificate for free ....kama uko within Mombasa...comment nikuone.....Kila kitu ni free wasee

0
0
0