Niaje wasee, kuna hii #biz nilianzisha ya online movies kama Netflix. Kila kitu iko sawa but uptake ni slow, nadai kujua from you guys kama ni prices ama nini inaweza kuwa noma. Nimeweka pic ya prices. Mnishow niaje, nini naweza do kuimprove.

0