Niaje wasee.. Kuna hii phase ya kuhustel na unadate, unapata priority yako na mtu wako hazi align in anyway. How do you live with such, knowing anytime you invest on them itaangushwa Tu?