
Niaje Wasee kuna time unapata supplier mwenye ako na everything you need. Bei iko fiti, products the best, quality iko poa kabisa yaani Kila kitu iko sawa .
But hapo kwa communication and delivery unapata ako poor. Unaeza take long ama pia kumpata ndio utume order balaa kweli
How do you cope with this more so kama hakuna msee mwingine around .
If you are A supplier be the best for your clients. Kama mko busy sana hire someone to do some extra works
#Biz
0
0
0