
Niaje wasee, kwa wale wakona mandai na hawana mechanics wanatrust. Mnaeza visit garage yangu (three Point Auto garage) hapa kabwagi karen tuweze kucheki izo mashida. We deal in auto mechanics, body works, wiring, diagnostics and coding ya gari. Spares pia tunasupply za bmw, Mercedes na jeep. Prices zetu ni very affordable na kazi pia inachapwa safi. Unaeza tucall for more inquiries. 0702407615




0
0
0