Niaje wasee. Leo from 7PM tutakuwa na a Mic Yetu session on our Shujaaz Kenya Facebook page. The topic itakuwa 'Kenya Yenye Tunataka.' Let's meet then for inspiring conversations. #MicYetu