Niaje wasee leo natafuta msee ako poa kufanya wedding cards, na price per card hisipite 40ksh. Kama uko fiti hyo job ama unajua msee ako sawa reach out tubonge