Niaje wasee me nashukuru sana kama kuna msee nimepea hope ya life hapo nje, hio ndio kujengana,, itakuwa poa kushare what u av kwa mabro na masiz wenye manapia hardship count me in,, sina more naeza offer kwa sasa juu sina uezo but bro/siz mwenye uko apo nje unapitia hard time jikaze joo usigive up,, nimepitia alot rejections,kukosa rent,food but kama still nko alive joh ata wewe utaweza,itakuwa painful kukuzika na utakuwa umeongeza pain kwa wenye umeacha,piga hesabu ya familia yako banah, juu ya huyo msee unaeza acha na pain simama na ujikaze,, share na mtu unatrust story yako atakujenga na advice itafanya uone hope ya kesho,,yenye tunapitia ni part ya life usijilinganishe na hao wako top angalia wenye wako down kukushinda wanatamani kuwa kama wewe,,, tujikaze na tutuamaini bro na siz apo nje kuna better tommoro usikill dream yako