
Niaje wasee mi naitwa Jose, mi hustle yangu n ya ku empower madem na machali kuji keep tu safe, wasiget madem wa c get pregnancy zenye hawajapangia ku wa empower na information ya nakutumia contraceptives both longterm na short term, then pia wale wako na boll na wenye wame get watoi waeze ku attend clinic zao poa bila stress, alafu pia Kuna maternity poa kama Kuna dem anataka ku deliver n poa ku deliver kwa facility poa kama MARIESTOPES EASTLEAGH pia madem waeze angaliwa hali yao ya CERVICAL CERVICAL [cervical cancer screening). The pia kwa machali na madem pia kujua hali yao ya HIV aan knowing your HIV status na hi ya HIV m Hua na fanya free kwa mtaa coz Kuna majamaa wengi hugwaya kuvisit VCT for testing. SO M NA HUSTLE NA HOS YA MARIESTOPES EASTLEAGH NURSING HOME KWA MASWALI YEYOTE NAMBA YANGU N 0726346514