Niaje wasee ? Mi naitwa kennedy njue kutoka mombasa na nimependezwa sana na hili kikundi jameni ila mie nahitaji usaidizi juu nimeishi for two years in depression nikijaribu kutafta kazi ya forklift jameni naipenda sana hii kazi ila nikitafta sipati. Tafadhali naomba usaidizi toka kwenu,Asante
0
0
0