
Niaje wasee mi ni boys flani ghetto nimekuwa na dream ya kufanya film ka biz. Challenges ni mob kwa ground hap na pale but sijawai loose hope!!! Naomba ka kuna msee ako na link anaweza ni link na any productions or media group will be glad. More soo pia shujaaz ka wanaweza kucheza kama wao pia ni sawa!!!
0
0
0