
Niaje wasee, Mimi husave kutumia;
- Lock Savings Account ya both Mshwari na KCB MPESA (Hizi zote ziko kwa app ya MPESA)
- Nasave pia kwa Branch loan app.
- Pia nasave through kukopesha msee namtrust doh. Ananirudishia after some time ikiwa tu hivyo ama hata na interest kiasi.
0
0
0