Niaje wasee....Mimi huwa ninafanya construction and building ata glass fitting,tiles fitting,,,, blandering nakadhalika Kama uko na job unaweza Niconnect tufanye hustle