niaje wasee mimi niko lodwar ,nahustle na bis ya fish fry kuanzia mbao mpaka two soo nilikuwa nadai kupanua from five soo daily mpaka mbele kos stock ile naleta ni kidogo na demand iko high , but naona kitu ya kuinua ndio noma mafuta ya mboga imepanda from 1400 to 2400 imgn aki nisaidie niko na dream!!!!! #0797156999
0
0
0