Niaje wasee mko naomba hustle ya kufanya online jobs niko na laptop naeza type haraka na kuhandover kazi on time. Kama kuna social media campaigns pia mnaeza nichapia.