Niaje wasee. Mm ni student at the Technical University of Kenya. Nilikua nimeanza bizna ya video show last year but vle corona ilikam Mambo ikakua hard. Hakuna customers so ju ya rent nkachujwa kwa iyo keja nlkua nmeanza iyo biz. Ilibidi niuze iyo tv na zle vitu nlkua nmebuy kuanzisha iyo video. Sahi nataka kuanza bizna ya viatu na matishat kwa wasee wa campus na wa huko home. Shida tu ni capital ya kuanza
0
0
0