Niaje wasee! Nadai tubonge kiasi juu ya loan
Before msee achukue loan, anafaa kuconsider vitu kama gani?
#Biz #Biashara #GrowBiz #MyHustle