Niaje wasee naitwa aleko 22yrs nataka kuanzishwa biz ya cereals nadai tu wasee wanijenge manze na mafom za capital na izo cereals n gani ziusoka nko kasarani