Niaje Wasee, Naitwa Solomon, recently nilidevelop site ya kuadvertise real estate property kama mahao au maplot.
Hio site ndio inaanza, si muicheki mnipee feedback na pia kama imekubamba, ambia msee aambie msee tujijenge

0