Niaje wasee nani anaeza niconnect nipate place ya attachment nimesomea it Dm me kama kuna company ama place inahitaji msee wa information technology