Niaje wasee. Naulizia advice on shipping kutoka china na container. Nishawai skia watu kadhaa hushikiania unapata a portion of space ndio ikuwe cheaper. Any referncee or advice on how to go about it?