
🔥Niaje wasee, ni mimi mwenyewe #Konki!! 😎 It's a MULAMWAH-MESH takeover! Na leo niko na challenge safi sana for all #MESHers. Kama unajua 3 serious young people wenye wanadai kujengwa na #Opportunities ama #Ideas kibao 🔥 refer them hapa MESH, wajoin hii #Community ya nguvu alafu comment hapa na usernames zao na tutakusort na airtime ya 100 Bob one time kwa DM yako ya MESH!! 💯 Winners watakua sorted by 9am kesho latest! Twende kazi ! 🙌🏿
Unaeza connect na mimi pia @[Kendrick Mulamwah] 😉
#LiveNaMulamwah #Tujijenge #SisiNiMESH
0
0
0