Niaje wasee ni tinami hustle ni gym instructor,mixed martial arts trainer na napigisha wasee homeworkouts ka uwezi fika gym ka uko around apo ruiru ama nai tunaeza link up tupige zoezi kimoja