Niaje wasee ni ule Nguchez fundi wa interior tunaeka mpaka pvc ceiling ona vene tuliekea huyu msee ikakaa poa