Niaje wasee niko na hustle ya kuinstall na kudistribute devices za access control na time attendance. Kama unadai kusecure ofisi yako ama kumanage time attendance ya staff wako nichapie tupige biz na pia kama unajua msee anadai hizi services usikose kunichapia thanks wadau mbele pamoja.


0
0
0