
Niaje wasee. Nimekuwa hii biz yangu for a long time lakini sahi napata challenges mob. Mimi ni mechanic. Sai hakuna wateja manze. Sijui ni juu ya covid ama nini lakini sahi biz iko chini. Anyone ako na advice vile naezaimprove biz yangu? Ama new ideas kama kuna kitu wrong nafanya.
0
0
0