
Niaje wasee, nimewahata joh, na hii baridi ni mbayaaaa. Anywho Leo nadai tubonge story food / health related! "WEWE HUDO NINI ON DAILY BASIS KUZUIA HOBA" Personally during this cold season I drink Ginger tea every morning na booster ya mixture of ginger garlic lemon and honey before going to bed ! Nichapie tip Yako kwa comment section #KeepWarm #MeshingDay #SisiNiMesh #Mesh4Life

0
0
0