Niaje wasee?? Ninejariibu ku-apply for jobs in Kenya haziendi through naeza anza aje biashara ya haraka ju sina capital enough