Niaje wasee, nowadays nmeona wasee wengi wanachangamkia hizi online businesses, na wengine husema ni scam, opinion yako ni gani? #Tujengane