
Niaje wasee.... unaweza fanya nini ukienda kwa kinyozi upate msee wa kinyozi anatumia vitu za carpentry [unconventional shaving methods] instead of makasi na hair shaver? cheki hii stori ya Martin Safari na vile anatumia his creativity to run his barbershop na imefanya akakua famous in Kigali, RWANDA na Nairobi, KENYA. ndio hii link ya reel; https://www.tiktok.com/@trt...



0
0
0