
Niaje wasee Zanta Davani hapa an artist wa bongo flavour but at the same time in a group of three tuliamua kucome together one lady and two boys, tukaweka shares each of us tukaanza biz ya viatu na nguo, as per now inapick fity ingawaje kuna challenges but we are doing good.Tutashare more and more, thanks to Dj B na jeshi mzima kuimpact mayutman tujengane, ask anything ntakam through. Wazi.
0
0
0