
Niaje waseee nimeona ni fiti kushare hii opportunity na wasanii..Megalink Entertainment wanaoffer recording services on sunday na msanii anafaa kutokea studio na just 4kgs of Unga...ya ugali ama Ngano...which shall be then distributed to the needy afterwards...Beats zinatumiwa zitakua uploaded kwa channel ya FIND THE HIT youtube ama unaweza download beat kwa app yao ya Music Tap ..Tutokee tuchape mziki tukifeed the needy joh...lets make it a culture to share.
0
0
0