Niaje washer, leo imekuwa ka black monday nothing adding up na sahii inaelekea ku mnite, jamii wako pale kejani wanangojea nishuke na ka kwota na unga, itakuwa aje. Si mtu stoe form