
Niaje watu Carpentry.
Hii machine inaitwa Wood cutting band saw, With only 70, 000ksh,
Hii machine itakupea service very impressive sana, kwa art na kukata mbao zile ndogo to any shape, wewe unaonaje? Ebu nichapie hapa kwa comment section. ššššš

0
0
0