Niaje watu nguyas! Mimi ni muuzaji wa vitunguu (onions). I currently operate in Eldoret na nafanya supplies anywhere across the country. Kama mraia wa Mesh nimecheki itakua poa kujiintroduce kwenu;
- Na supply hotels, clubs, restaurant in large scale.(min. 50kg - any amount)
- Na supply small scale for vendures in small and large quantities.
- Schools, hospitals and institutions in large scale (min 100kg )
Kwa hivyo wakuu biz ndio hio, ukitaka large,medium au small onions kwa current cost @130/- kg for red onions.




0
0
0