Niaje watu wangu...huyu ni Gee msee wenu wa pawa.I deal with Ankara fabrics. Knitting bags, jackets and printing shirts.Ni idea nilicome up nayo ndio atleast niweze kuweka mkate kwa meza .