
Niaje watu wangu ,kama kawa MESH is all about kujengana kibiashara,nko na tip noma hapa ; never start biz na pupa ,anza na ile kidogo uko nayo ,check market demand,ikiwa poa then boost stock, better be slow but sure,don't expect business success within a short time ivo,let's be patient and optimistic kwa biz zetu.
0
0
0