Niaje watu wangu ,leo wacha niwachanue,avoid M-PESA payments kwa biz yako , unless if unatumia pochi or till ama bank deposits, be keen, confirm before mteja aende usije ukarambwa pesa