
NIaje watu wangu, me nauza mursik. Maziwa mala ile ya ndugu zetu kutoka north rift. Ni maziwa healthy sana, nutrients kama zote utapata. Nauza na bei ya wholesale. Wale wako interested kuanza kuuza wanaweza nishtua na wale wenye wanapenda kutumia ama wangepemda kuanza kutumia mursik, ni shtueni. 0717 406868 is my number. Mumekaribishwa wote.
0
0
0