
Niaje watu wangu, mi naitwa Roxanne Kwamboka and am an active member kwa hii Community yetu ya MESH. Pia mi ni YouTuber na hapo ndio mi hu-make hustle yangu ku-push online content. At least sasa tuko na MESH
Last year manze imekua a tough year for most of us lakini thank God in our own ways tulipambana and here we are 2021. Personally nataka ku-encourage members kwa hii Community yetu with two tips zenye zili-work for me last year.
First let's have a plan. Tusikae 2021 without a plan for the whole year bila goals ama resolutions . As we plan pia tukuwe flexible keeping in mind anything can happen.
Second, lets strike a balance in all aspects of life ndio tu avoid disappointments na pia hii stori ya kudai tunangoja mpaka tupate dooh mob ndio msee aanze hustle doesn’t work. Let’s start small. We can always catch up hapa MESH tujengane.