
Niaje watu wangu. Naeza apply loan aje au wapi ya kuanza biz kama sina job at the moment juu najua bank lazima ukuwe na job ndio upewe if I'm not wrong Already niko na business plan nishachora na capital kiasi, so how can you people advice me vile naeza raise starting capital?
0
0
0