Niaje watu wangu ni capital ya how much mtu ananeed kuanzisha Kinyozi? Nimecheki hii bizna inaweza juu kunyoa nayo ni lazima nywele na ndevu lazima zitamea tu