
🔊 Niaje watu wangu! Tuko na form ya uzito leo usiku @[Vanessa Akinyi] aka Cartoon Comedian ako live na sisi hapa MESH! Hii ni platform ya young Kenyans in #Biz 💰💰
Hapa hivi kuna opportunities kibao na MESHers hupeana advice, wanna-share skills, wanna-get customers na ku-get jobs. Kuna different groups na hapo kuna partners wanajenga MESHers. 🙌🏿 Wasee hapa wanaget financial support ili kuinua biz zao.
Share na sisi hustle yako kwa comments tuone vile tunaeza #Jengana
0
0
0