
Niaje watu wangu wa nguvu!
Nimechecki msee ameuliza jinsi ya kulipa hii eneza loan na ningependa kushare na nyinyi hii procedure!.
Dial 84237# (Make sure ukona airtime) Utaona imekuletea hizo details.... Option 2.Pay loan then next utachoose kama ni installment ama unataka kusettle yote...then eneza will send a request for payment to your mpesa uweke pin!.
Hope this one helps!
#Tujijenge #BizLoans #ShujaazBiz
0
0
0