Niaje watu wangu wa power. Form ya afternoon ndo hii hapa. Kwa wale bado wanadai kuomoka, hii ni opportunity yako. Usikose kutune in leo from 2pm #JengaBiz