Niaje, wazito!! Hivi mtu akianzisha biz ya retail shop anafaa kukaa muda gani ndio aanze kuenjoy profit? ....kindly help me with advice.