
Niaje Wazito! 😅 Leo ni siku #TrickySana!🤡 mimi, @[Mca Tricky] nime-takeover page ya MESH leo na nadai kujenga wasee mazuri kiasi!! Game ni simple sana! Share na sisi; Unaplan ku-grow Biz yako aje in the near future?
Best answers kwa comments watapata chance ya kushinda ka credo hapa #MESH! Leggo! 💯
0
0
0