Niaje wazito, Mazee nahitaji funds za kuanzisha kamradi ya kukuza makuku anyone ako willing to support me nita appreciate sana. Big up Meshers.