Niaje wazito wangu wa mesh community? Naomba msaada wa connection venye naeza hustle kwa skiza tune nikitumia nyimbo zangu.