Niaje wenzangu, mimi naitwa Jimmie from Pangani, mimi nlikua na kashop ka kuuzia manguo na viatu hapa Mlango Kubwa but due to the Covid_19 pandemic mazee ilibidi nimekafunga juu ya expenses na pia rent sai ilibidi nimekua hawker tao of which ni risky business kwa wenye wanajua,,, for real Mesh mkiniokolea itakua poa sana coz itaniboost nirudi she kabiz kangu, thanks sana
0
0
0